Micjunior News, Kijana ambaye mzaliwa wa spain, Lamine yamal
September 6, 2024
Nikijana mdogo mwenye umri wa miaka 17 ambaye anatabiliwa atakuja kufanya makubwa zaidi kwenye mpira wa miguu. Pia hivi sasa watu wengi wakimfananisha na Messi mchezaji ambaye ana cv kubwa kwenye mpra wa miguu. Micjunior News.
Recent Sports News
More Sports NewsDownload App
This article was generated using the WeReport app, download today and create your own article!
Report Issue